WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, January 16, 2019

WAJUMBE WA KAMATI VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA WAKIWA KATIKA KIKAO JIJINI DODOMA

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Joseph Kakunda akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira ambapo kamati hiyo ilikuwa ikijadili Taarifa mbalimbali za wizara hiyo katika kikao kilichofinyika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.katikati ni Katibu wa Kamati hiyo, Bi. Zainabu Mkamba na Mweyekiti wa Kamati, Mhe. Suleiman Ahmed Sadiq.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiwa katika kikao kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo kamati hiyo ilikuwa ikijadili Taarifa mbalimbali za Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

Mweyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Suleiman Ahmed Sadiq akifafanua jambo katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo kamati hiyo ilikuwa ikijadili Taarifa mbalimbali za Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.katikati ni Katibu wa Kamati hiyo, Bi. Zainabu Mkamba na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Joseph Kakunda.

No comments:

Post a Comment