WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, March 20, 2019

OFISI YA BUNGE YAWASILISHA BAJETI YAKE MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BAJETI

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akitoa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na Makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mheshimiwa Jenista Mhagama akifafanua jambo kuhusiana na Makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.  

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa George Simbachawene akichangia jambo mbele ya Wajumbe wa Kamati hiyo ilipokutana ili kupokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na Makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti Kamati wakifuatilia uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2018/2019 na Makadirio ya mapato na matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwenye Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.  

No comments:

Post a Comment