WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, March 7, 2019

KAMATI YA BAJETI KATIKA KIWANDA CHA KUTENGENEZA K VANT ARUSHA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Mega Breweries Limited Arusha watengenezaji wa kinywaji cha K VANT, Ndugu Francis Kimaro wakati Kamati ilipotembelea Kiwanda hicho kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki  (ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda hicho, pembeni yake ni Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Ndugu Abdul Zuber.



Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Kamati hiyo wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Mega Breweries Limited Arusha watengenezaji wa kinywaji cha K VANT, Ndugu Francis Kimaro wakati Kamati ilipotembelea Kiwanda hicho kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki  (ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda hicho, pembeni yake ni Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Ndugu Abdul Zuber.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti,  wakiongozwa na Mhe. George Simbachawene  wakiangalia baadhi ya mitambo inayotumika kutengeneza kinywaji cha K VANT wakati Kamati ilipotembelea kiwanda cha Mega Breweries Limited Arusha kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki  (ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda hicho.


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti,  wakiongozwa na Mhe. George Simbachawene  wakiangalia baadhi ya mitambo inayotumika kutengeneza kinywaji cha K VANT wakati Kamati ilipotembelea kiwanda cha Mega Breweries Limited Arusha kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki  (ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda hicho.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa kiwandani

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kiwanda cha Mega Breweries Limited (TBL) Arusha  pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati Kamati ilipotembelea kiwanda hicho kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki  (ETS) unavyofanya kazi.


No comments:

Post a Comment