KAMATI YA BUNGE IKIWA KATIKA KIWANDA CHA TBL ARUSHA
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George Simbachawene akiwa ameambatana na
wajumbe wake wakiwasili katika kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL)Arusha
kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki (ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda hicho.

Wajumbe
wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. George Simbachawene wakiangalia namna ya
uzalishaji wa bia wakati walipotembelea katika kiwanda cha Tanzania Breweries
Limited (TBL) Arusha kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki
(ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda
hicho
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti, Mhe. George Simbachawene akiwa ameambatana na wajumbe wake wakionyeshwa
namna ambavyo bia zinabandikwa Stempu za kielektroniki na Meneja wa Kiwanda cha
Tanzania Breweries Limited (TBL) Ndugu Joseph Mwaikasu.Wajumbe hao walitembelea
kiwanda hicho kwa lengo la kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki (ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda hicho.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti, wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa kiwanda cha Tanzania Breweries
Limited (TBL) Arusha pamoja na viongozi
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati Kamati ilipotembelea kiwanda hicho
kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki (ETS) unavyofanya kazi.
No comments:
Post a Comment