NAIBU SPIKA AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) KUHUSU DEMOKRASIA NA UTAWALA BORA
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Tulia Ackson akifungua kikao cha Tano cha Demokrasia na Utawala cha Baraza la
Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya ya nchi za Maziwa makuu (FP-ICGLR) kilichofanyika
hii leo Jijini Arusha.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kikao cha Tano cha Demokrasia
na Utawala bora cha Baraza la Wabunge wa Mabunge ya Jumuiya ya nchi za Maziwa
makuu (FP-ICGLR) kilichofanyika hii leo Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment