WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, March 29, 2019

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA WAKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU WA BUNGE

   Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimsikiliza Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Mhe. Stephen Masele aliyemtembelea Ofisi kwake Bungeni Mjini Dodoma.


Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimsikiliza Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Mhe. Stephen Masele aliyemtembelea Ofisi kwake Bungeni Mjini Dodoma. Mheshimiwa Massele aliongozana na Rais wa Umoja wa Vijana wa Bunge la Afrika Mhe. Mboni Mhita  pamoja na Mjumbe wa Bunge la Afrika Mhe. David Silinde

   Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimsikiliza Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Mhe. Stephen Masele aliyemtembelea Ofisi kwake Bungeni Mjini Dodoma. Mheshimiwa Massele aliongozana na Rais wa Umoja wa Vijana wa Bunge la Afrika Mhe. Mboni Mhita  pamoja na Mjumbe wa Bunge la Afrika Mhe. David Silinde.


No comments:

Post a Comment