WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, March 30, 2019

SPIKA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO KUHUSIANA NA MASUALA YA MADINI WAJUMBE WA KAMATI YA NISHATI NA MADINI

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya madini wajumbe wa Kamati ya Nishati na Madini, mafunzo hayo yamefanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya madini wajumbe wa Kamati ya Nishati na Madini, mafunzo hayo yamefanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

          Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya ufunguzi.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa mgeni ramsi katika semina ya wajumbe wa Kamati ya Nishati na Madini ya kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya madini wajumbe wa Kamati ya Nishati na Madini, kulia kwake ni Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko  na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati  na Madini Mhe, Dunstan Kitandula. Semina hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment