Rais wa Seneti ya Burundi, Mhe.
Reverin Ndikuriyo akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Zungu wakati Rais huyo pamoja na ujumbe wake
walipotembelea Bunge la Tanzania na kukutana na kamati hiyo, pembeni yake ni
Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Mussa Zungu.
|
No comments:
Post a Comment