WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, May 23, 2019

KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPATIWA MAFUNZO KUHUSU UTEKELEZAJI WA LENGO NAMBA 4 LA MAENDELEO ENDELEVU

Katibu wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agness Nkwera akitoa mada kuhusu Utekelezaji wa Lengo Namba 4 la Maendeleo Endelevu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Susan Lyimo akichangia mada kuhusu kuhusu Utekelezaji wa Lengo Namba 4 la Maendeleo Endelevu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, wakiwa katika kikao cha Kamamti hiyo.kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. John Kadutu akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.


No comments:

Post a Comment