WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, May 24, 2019

NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO KWA WABUNGE WANAWAKE


Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson akifungua mafunzo kwa wajumbe wa Chama Cha Wabunge Wanawake (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Magreth Sitta na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Susan Lyimo.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson akifungua mafunzo kwa wajumbe wa Chama Cha Wabunge Wanawake (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. 

Mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake Wabunge (TWPG) akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson kufungua mafunzo kwa wajumbe wa Chama Cha Wabunge Wanawake (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
 
Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia, Ndugu Fortunata Temu akitoa mada kuhusiana uelewa wa sera na sheria zinazohusu masuala ya kijinsia katika mafunzo kwa wajumbe wa Chama cha Wanawake Wabunge (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma

No comments:

Post a Comment