WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, June 30, 2019

MAAFISA WA BUNGE WAKITOA ELIMU KWA UMMA KUHUSU BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 43 YA SABASABA YANAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM

Maafisa wa Bunge wakitoa Elimu kwa Umma kuhusu Bunge kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge lililopo katika Maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam  hii leo

Afisa wa Bunge Ndg. Thomas Shawa akitoa Elimu kwa Umma kuhusu Bunge kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge lililopo katika Maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam  hii leo

Afisa wa Bunge Ndg. James Sapali akitoa Elimu kwa Umma kuhusu Bunge kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Banda la Bunge lililopo katika Maonyesho ya 43 ya Kimataifa ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam  hii leo

Friday, June 21, 2019

WABUNGE WAPATIWA SEMINA KUHUSU MASUALA YA UKIMWI

Mwenyekiti wa Kamati ya Ukimwi, Mhe. Oscer Mukasa akizungumza katika semina kwa wajumbe wa ‘caucus’  ya Ukimwi na TB. Semina hiyo ililenga kuwajengea wabunge uelewa kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na Kifua Kikuu nchini.

Katibu wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agnes Nkwera akitoa mada katika semina kwa wajumbe wa ‘caucus’  ya Ukimwi na TB. Semina hiyo ililenga kuwajengea wabunge uelewa kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na Kifua Kikuu nchini.

Wajumbe wa  ‘caucus’  ya Ukimwi na TB wakifuatilia mada katika semina iliyofanyika Bungeni Jjjini Dodoma. Semina hiyo ililenga kuwajengea wabunge uelewa kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na Kifua Kikuu nchini.

Wajumbe wakiendelea na semina

Friday, June 14, 2019

WABUNGE WAPEWA SEMINA KUHUSU MAANDALIZI YA MIPANGO NA BAJETI

Muwezeshaji kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Ndugu Muga Matitu akitoa mada kuhusu Muongozo wa maandalizi ya mipango na bajeti kwa mwaka 2019/20 hadi 2021/2022 katika semina ya wabunge iliyofaanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

Monday, June 10, 2019

SPIKA WA BUNGE LA RWANDA ATEMBELEA BUNGE LA TANZANIA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza  na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille Ofisini kwake Jijini Dodoma mapema leo wakati Spika huyo wa Rwanda akiwa ameambatana na Wabunge wawili walipoanza ziara ya siku tatu ya kutembelea Bunge la Tanzania. 
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimkaribisha Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille katika meza yake wakati alipomtembeza katika Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimueleza jambo Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille wakati alipomkaribisha kukaa katika kiti chake cha Uspika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille pamoja na Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa ziara ya Spika huyo wa Rwanda katika Bunge la Tanzania.

 Spika wa Bunge (wapili kulia) akizungumza wakati wa kikao kati ya Wajumbe kutoka Bunge la Tanzania na Wajumbe kutoka Bunge la Rwanda wakiongozwa na Spika wa Bunge hilo Mhe. Mukabalisa Donatille (wa pili kushoto) Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimkabidhi picha ya Jengo la Bunge Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille akifurahia jambo  na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wakati wa ziara yake katika Bunge la Tanzania.

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia), Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (wa tatu kulia), Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa nne kulia), Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai (kulia), Waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Ofisi ya Bunge wakifurahia ngoma zenye asili ya kigogo baada ya kumpokea Spika wa Bunge la Rwanda katika katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akiongozana na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille alipowasili leo katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson