Afisa Sheria wa Bunge Ndg. Mossy Lukuvi akitoa Elimu kwa Wageni waliotembelea banda la Bunge hii leo kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma. |
Afisa Utafiti wa Bunge Ndg. Aziza Makwai akitoa Elimu kwa mgeni aliyetembelea banda la Bunge hii leo kwenye Maonesho ya Wakulima ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment