|
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha Bodi ya
Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya
Afrika kilichofanyika katika Hotel ya Manidat AL Bahr Business and Spa Hotel. Kushoto
ni Mhe. Elijah Okupa Mhasibu Msaidizi na Katibu wa CPA Kanda ya ya Afrika,
Ndugu Stephen Kagaigai.
|
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa kwanza kushoto) akiongoza kikao cha Bodi ya
Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya
Afrika kilichofanyika katika Hotel ya Manidat AL Bahr Business and Spa Hotel. Katikati ni Katibu wa CPA Kanda ya Afrika,
Ndugu Stephen Kagaigai na Ndugu Said Yakubu Katibu Msaidizi wa CPA Afrika
|
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika kilichofanyika katika Hotel ya Manidat AL Bahr Business and Spa Hotel. |
No comments:
Post a Comment