WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, November 12, 2019

SEMINA YA UJUMUISHI WA MASUALA YA JINSI YATOLEWA KWA WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGE

Mwenyekiti wa Bunge Mheshimiwa Mussa Zungu akichangia jambo kwenye Semina ya Ujumuishaji wa masuala ya Jinsi katika Sera na Shughuli mbalimbali za Bunge iliyotolewa kwa Makatibu Kamati na Wenyeviti wa Kamati za Bunge hii leo Jijini Dodoma

Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wanye ulemavu), Mheshimiwa Jenista Mhagama akichangia jambo kwenye Semina ya Ujumuishaji wa masuala ya Jinsi katika Sera na Shughuli mbalimbali za Bunge iliyotolewa kwa Makatibu Kamati na Wenyeviti wa Kamati za Bunge hii leo Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu Za Serikali (PAC) Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akichangia jambo kwenye Semina ya Ujumuishaji wa masuala ya Jinsi katika Sera na Shughuli mbalimbali za Bunge iliyotolewa kwa Makatibu Kamati na Wenyeviti wa Kamati za Bunge hii leo Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maktaba na Utafiti (sehemu ya Utafiti) Ndg. Ng’wavi Angumbwike akifafanua jambo alipokuwa akitoa Mada kwenye Semina ya Ujumuishaji wa masuala ya Jinsi katika Sera na Shughuli mbalimbali za Bunge iliyotolewa kwa Makatibu Kamati na Wenyeviti wa Kamati za Bunge hii leo Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment