Friday, November 22, 2019
SPIKA ALIFUNGA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2019
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akitoa Hotuba ya Kufunga Bunge la Vijana mwaka 2019, lillilokuwa likiendelea katika
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
|

Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana wabunge wa Bunge la Vijana mwaka 2019 mara baada ya kulifunga Bunge hilo lililokuwa likiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma |
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana wabunge wa Bunge la Vijana mwaka 2019 mara baada ya kulifunga Bunge hilo lililokuwa likiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma |
Wednesday, November 20, 2019
KIKAO CHA BUNGE LA SITA LA VIJANA CHAENDELEA HII LEO JIJINI DODOMA
Naibu
Spika wa Bunge la sita la Vijana mwaka 2019 Ndg. Monica Majiba akiongoza kikao cha Bunge hilo kilichoendelea
hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
|
Sehemu ya Wabunge wa Bunge la sita la Vijana mwaka 2019 wakifuatilia kwa makini kikao cha Bunge hilo kilichoendelea hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. |
Thursday, November 14, 2019
SPIKA AZINDUA MPANGO KAZI WA CHAMA CHA WABUNGE RAFIKI WA MAZINGIRA
Subscribe to:
Posts (Atom)