Naibu
Spika wa Bunge la sita la Vijana mwaka 2019 Ndg. Monica Majiba akiongoza kikao cha Bunge hilo kilichoendelea
hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
|
Sehemu ya Wabunge wa Bunge la sita la Vijana mwaka 2019 wakifuatilia kwa makini kikao cha Bunge hilo kilichoendelea hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment