Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizindua Mpango Kazi wa Chama cha Wabunge Rafiki wa
Mazingira (TAPAFE), katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kulia
kwake ni Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Jitu Soni na Florentina Julius kutoka
Jumuiko la Maliasili Tanzania.
|
No comments:
Post a Comment