WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, January 9, 2020

MAAFISA WA BUNGE WAPATIWA MAFFUNZO YA UCHAMBUZI WA RIPOTI ZA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG)

Mkufunzi kutoka Ofisi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Ndg. Nsia Michael (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwenye Mafunzo ya Maafisa wa Bunge kuhusu Uchambuzi bora wa Ripoti za CAG, MjIni Morogoro hii leo.

Mkufunzi kutoka Ofisi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali Ndg. Magian Tanaki akifafanua jambo kwenye Mafunzo ya Maafisa wa Bunge kuhusu Uchambuzi bora wa Ripoti za CAG, MjIni Morogoro hii leo.

Maafisa wa Bunge kutoka Idara na Vitengo mbalimbali wakifuatilia kwa karibu mafunzo kuhusu Uchambuzi bora wa Ripoti za CAG yaliyotolewa na Wakufunzi kutoka Ofisi ya CAG MjIni Morogoro hii leo.

Maafisa wa Bunge kutoka Idara na Vitengo mbalimbali wakifuatilia kwa karibu mafunzo kuhusu Uchambuzi bora wa Ripoti za CAG yaliyotolewa na Wakufunzi kutoka Ofisi ya CAG MjIni Morogoro hii leo.

No comments:

Post a Comment