WIZARA YA AFYA YAKUTANA NA KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto, Mheshimiwa Ummy
Mwalimu akitoa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa
kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na
Maendeleo ya Jamii hii leo Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Salma
Kikwete (katikati) akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa
Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini
Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Joseph
Mbilinyi akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee
na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa
Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment