Afisa wa Bunge Ndg. Amina Salum akitoa ufafanuzi kwa Wageni mbalimbali wanaofika kwenye Banda la Bunge ili kupata Elimu kuhusiana Shughuli za Mhimili huu wa Kutunga Sheria. |
Afisa wa Bunge Ndg. Katherine Kaihula akitoa ufafanuzi kwa Wageni mbalimbali wanaofika kwenye Banda la Bunge ili kupata Elimu kuhusiana Shughuli za Mhimili huu wa Kutunga Sheria. |
Afisa wa Bunge Ndg. Zanele Chiza akifafanua jambo kwa Wageni mbalimbali wanaofika kwenye Banda la Bunge ili kupata Elimu kuhusiana Shughuli za Mhimili huu wa Kutunga Sheria. |
No comments:
Post a Comment