Afisa Mwandamizi wa Bunge Ndg. Louise Mdachi akitoa Elimu kwa wageni mbalimbali waliofika kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. |
Afisa wa Bunge Ndg. Peter Magati akitoa Elimu kwa wageni mbalimbali waliofika kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. |
Afisa wa Bunge Ndg. Rehema Kipera akitoa Elimu kwa wageni mbalimbali waliofika kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. |
No comments:
Post a Comment