Monday, March 29, 2021
Monday, March 22, 2021
WABUNGE WAKIMLILIA HAYATI DKT. MAGUFULI WAKATI WAKIAGA MWILI WAKE KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (anayetangulia), pamoja na Msafara wake wakiwasili katika vya
Bunge kwa ajili ya Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge
Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa
Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya kuaga
mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John
Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Mke wake, Dkt.
Fatma Mganga wakiweka shada la maua katika Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa
Wabunge ya kuaga mwili huo katika
viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na
Mke wake, Dkt. Fatma Mganga wakitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili
wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe
Magufuli wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya kuaga mwili huo katika viwanja vya Bunge Jijini
Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge akiweka shada la maua katika Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya kuaga mwili huo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Waheshimiwa Wabunge wakimlilia
aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe
Magufuli wakati wa Shughuli ya kumuaga katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Sunday, March 14, 2021
KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAIPONGEZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Mratibu wa Mradi wa Panda Miti Kibiashara (PFP) Ndg. Rahel Swai akitoa taarifa na maelezo kuhusu mradi huo kwa Waheshimiwa wabunge kabla ya kufanya ziara na kuona mradi huo.
Kamishna Uhifadhi wa TFS Prof. Dos Silayo akitoa taarifa kwa waheshimiwa wabunge ya Shamba la Miti Sao Hill kabla ya kufanya ukaguzi wa shamba hilo. Na Zanele Chiza Iringa. |
Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt. Aloyce Kwezi ametoa pongezi
wakati wa ziara ya kamati hiyo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na maeneo
yanayosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ambapo amesema
hatua hiyo imesaidia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa idadi ya wanyama.
“Napongeza kazi kubwa iliyofanywa na Wizara, TANAPA wamefanya
kazi kubwa sana ya kupunguza ujangili, hili limesaidia kuongezeka kwa idadi ya
wanyamapori hapa nchini, pia nawapongeza TFS kwa kazi kubwa ambayo wamefanya”
Amesema Dkt. Kwezi
Kuhusu uboreshaji wa miundombinu maeneo ya Hifadhi, Kamati
hiyo imeishauri Wizara katika kipindi hiki cha bajeti kufuatilia kwa karibu
ujenzi wa Barabara inayotoka Iringa kuelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.