KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA KAMA SEHEMU YA MAANDALIZI YA KUANZA KWA MKUTANO WA TATU WA BUNGE LA KUMI NA MBILI
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao
cha Kamati ya Uongozi ya Bunge hii leo kama sehemu ya maandalizi ya kuanza kwa
Vikao vya Mkutano wa tatu wa Bunge la Kumi na mbili vinavyotarajiwa kuanza siku
ya Jumanne tarehe 30 Machi, 2021 Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge
wakifuatilia jambo kwenye Kikao cha Kamati hiyo kilichokaa hii leo kama sehemu
ya maandalizi ya kuanza kwa Vikao vya Mkutano wa tatu wa Bunge la Kumi na mbili
vinavyotarajiwa kuanza siku ya Jumanne tarehe 30 Machi, 2021 Jijini
Dodoma.

No comments:
Post a Comment