Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan akilihutubia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan akilihutubia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan akitoka katika ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma. Mbele ya Mhe. Rais ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na kuanzia kushoto Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai, SSpika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment