Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea hati ya jengo la Bunge kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai, Pia Spika Ndugai alitoa wito kwa taasisi zote za kiserikali, Wizara na Mashirika kuhakikisha kwamba maeneo yao yote yamepimwa na yana hati
Wednesday, April 28, 2021
Friday, April 23, 2021
SPIKA NDUGAI ALIPOKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UINGEREZA NA UFARANSA KWA NYAKATI TOFAUTI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai katika picha ya na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar mara baada ya kuzungumza naye ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Thursday, April 22, 2021
PICHA: RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ALIHUTUBIA TAIFA KUPITIA BUNGE LA 12 BUNGENI JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan akilihutubia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan akilihutubia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan akitoka katika ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma. Mbele ya Mhe. Rais ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na kuanzia kushoto Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai, SSpika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zubeir Ali Maulid na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kulihutubuia Taifa kupitia Bunge la 12 Jijini Dodoma.
Subscribe to:
Posts (Atom)