Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombiunu,Mhe. Anne Kilango akiwasilisha Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati hiyo katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakijadili Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati hiyo katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakijadili Taarifa ya Mwaka ya Shughuli za Kamati hiyo katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment