Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda
Biashara na Mazingira, wakijadiliana baada ya kupokea Taarifa ya usimamizi wa
mazingira katika sekta ya mafuta na gesi.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais
Mazingira Ndg. Edward Nyamanga na Mkurugenzi wa MAzingira wa Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira dkt Andrew Komba wakiwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda
Biashara na Mazingira, wakati Mkurugenzi
Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samweli Mafwenga (hayupo pichani) akiwasilisha taarifa ya usimamizi wa mazingira katika sekta ya mafuta na gesi.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira, Mhe. Cesil Mwambe, Mhe. Josephat Gwajima na Mhe. Erick Shigongo wakifuatilia uwasilishaji wa Taarifa ya usimamizi wa mazingira katika sekta ya mafuta na gesi.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira, wakifatilia uwasilishaji wa Taarifa ya usimamizi wa mazingira katika sekta ya mafuta na gesi iliyowasilishwa mbele ya Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samweli Mafwenga.
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samweli Mafwenga akiwasilisha Taarifa ya usimamizi wa mazingira katika sekta ya mafuta na gesi mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda Biashara na Mazingira.
No comments:
Post a Comment