KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama akitoa Taarifa ya
utekelezaji wa Bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Desemba, 2021) kwenye
kikao cha Kamati hiyo kilichokutana na wizara yake hii leo Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala
na Serikali za Mitaa, Mhe. Margaret Sitta akichangia jambo kwenye kikao cha
Kamati hiyo kilichokutana na Wizara ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora hii leo Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala
na Serikali za Mitaa, Mhe. Thea Ntara
akichangia jambo kwenye kikao cha Kamati hiyo kilichokutana na Wizara ya Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora hii leo Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati yaKudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa, Mhe. Sebastian Kapufi
akichangia jambo kwenye kikao cha Kamati hiyo kilichokutana na Wizara ya Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora hii leo Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment