WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, February 15, 2022

NAIBU SPIKA ZUNGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UNDP TANZANIA



Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) wakiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022, wapili kushoto ni Mratibu wa Miradi kutoka ofisi ya Bunge, Ndg. Mary Lasway



Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akifurahia jambo na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022



Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022



 

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) wakiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (wapili kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022, wapili kushoto ni Mratibu wa Miradi kutoka ofisi ya Bunge, Ndg. Mary Lasway

No comments:

Post a Comment