WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, February 14, 2022

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Gilbert kalima alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimsikiliza Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Gilbert kalima alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Gilbert kalima alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022, kulia ni Mwanasheria wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Ndg. Beatus Mafuru

 



 

No comments:

Post a Comment