Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na viongozi wa timu ya Bunge Sports Club wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Tarimba Abbas (kulia) katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni Jijini Dodoma leo Februari 11, 2022
Mwenyekiti wa timu
ya Bunge Sports Club, Mhe. Tarimba Abbas akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson (Mb), pamoja na Wajumbe wa kamati tendaji ya timu ya Bunge
Sports Club (wote hawapo kwenye picha) katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni
Jijini Dodoma leo Februari 11, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimsikiliza Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club, Mhe. Tarimba Abbas pale uongozi wa timu hiyo ulipomtembelea katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni Jijini Dodoma leo Februari 11, 2022, kushoto ni katibu wa timu ya Bunge Sports Club, Ndg. Waziri Kizingiti
Baadhi ya Wajumbe
wa kamati tendaji ya timu ya Bunge Sports Club wakifuatilia mazungumzo na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
Mb, (hayupo kwenye picha) walipomtembelea katika ukumbi wa Spika uliopo Bungeni
Jijini Dodoma leo Februari 11, 2022, Kuanzia
kushoto ni Mbunge wa Nsimbo Mhe. Anna Lupembe, Mbunge wa Viti Maalum Mhe.
Regina Ndege na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Neema Mgaya
No comments:
Post a Comment