Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiwa katika semina ya mafunzo yahusuyo uelewa wa uhifadhi wa Ngorongoro yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 12, 2022
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakishiriki semina ya mafunzo yahusuyo uelewa wa uhifadhi wa Ngorongoro yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 12, 2022
Katibu Mtendaji Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Hamisi Malebo akiwasilisha mada katika semina kuhusu uelewa wa uhifadhi wa Ngorongoro kwa Waheshimiwa Wabunge yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 12, 2022
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Cecil Paresso akichangia jambo wakati wa semina ya mafunzo yahusuyo uelewa wa uhifadhi wa Ngorongoro kwa Waheshimiwa Wabunge yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 12, 2022
Mbunge wa Ngorongoro, Mhe. Emmanuel Shangai akizungumza jambo wakati wa semina ya mafunzo yahusuyo uelewa wa uhifadhi wa Ngorongoro kwa Waheshimiwa Wabunge yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 12, 2022
No comments:
Post a Comment