Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika Mkutano uliofanyika leo ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari (hawapo kwenye picha) katika Mkutano uliofanyika leo ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022
Wahariri wa vyombo vya habari wakiwa katika Mkutano na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (hayupo kwenye picha) uliofanyika leo ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (katikati) katika picha ya pamoja na wahariri wa vyombo vya habari nje ya ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Februari 14, 2022
No comments:
Post a Comment