WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, February 24, 2022

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA A KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar, Februari 24, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar, Februari 24, 2022



Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb), akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar, Februari 24, 2022

No comments:

Post a Comment