WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, February 27, 2022

SPIKA DKT. TULIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIJI LA MBEYA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na viongozi mbalimbali wa kitaifa wakati alipowasili katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 27, 2022, kuzungumza na wananchi wa Jiji hilo 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Jiji la Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 27, 2022



Wananchi Mbalimbali wa Jiji la Mbeya wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 27, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wananchi wa Jiji la Mbeya (hawapo kwenye picha) katika viwanja vya Ruanda Nzovwe leo Februari 27, 2022, Wengine ni Wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya na Mikoa ya Jirani

No comments:

Post a Comment