WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, February 9, 2022

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI KIKAO CHA PAMOJA CHA WAJUMBE WA KAMATI YA BAJETI YA BUNGE LA UGANDA, WATENDAJI KUTOKA OFISI YA CAG UGANDA NA WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE LA TANZANIA ZA BAJETI, PAC, LAAC NA PIC


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb akizungumza na wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda (kulia) pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma, PIC (wote hawapo kwenye picha) leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb akizungumza na wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda (kulia) pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma, (PIC) leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022

 

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akiongoza mazungumzo kati ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma, PIC (wote hawapo kwenye picha) leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Japhet Hasunga akichangia jambo wakati wa kikao cha pamoja kati ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda (kulia) pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC) leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akimpatia zawadi Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda, Mhe. Dkt. Keefa kiwanuka alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022. Baada ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda kufanya mazungumzo na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC)


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (katikati) katika picha ya pamoja na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ndg. Charles kichere (kulia) na Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda, Mhe. Dkt. Keefa kiwanuka leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022. Baada ya wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda kufanya mazungumzo na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC)



Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya Bajeti ya Bunge la Uganda na watendaji kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Uganda (kulia) pamoja na Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge la Tanzania za Bajeti, Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC) leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 9, 2022
 

No comments:

Post a Comment