WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, March 20, 2022

KAMATI YA BUNGE YA PAC IMETEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA TANGA


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakisikiliza maelezo ya jinsi ‘Flow meter’ inavyofanya kazi kutoka kwa opareta wa kipimo hicho Benjamini Kisaki, wajumbe hao wametembelea na kukagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza na watendaji wa Mamlaka ya Bandari wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga

 

Mkurugenzi wa Uhandisi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Baraka Mdima akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) maboresho mbalimbali yanayofanyika katika Bandari ya Tanga wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo

Mkurugenzi wa Uhandisi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Baraka Mdima alikiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) maboresho mbalimbali yanayofanyika katika Bandari ya Tanga wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakikagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga 

 

No comments:

Post a Comment