WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, March 20, 2022

WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE LA TANZANIA AMBAO PIA NI WAJUMBE WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) WASHIRIKI KIKAO CHA 33 CHA JUKWAA LA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE DUNIANI

Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022, kuanzia kushoto anaezungumza ni Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Mwanaisha Ulenge na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko


Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Duarte Pacheco akifungua Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022



Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani (IPU), Mhe. Roba Putri akiongoza kikao cha 33 cha Jukwaa hilo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022

Wajumbe Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022


No comments:

Post a Comment