Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akilihutubia Bunge la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) katika Mkutano wa 144 wa Umoja huo unaoendelea leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika Mkutano wa 144 wa Umoja huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za Maspika zikiwasilishwa leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.
No comments:
Post a Comment