WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, March 19, 2022

KAMATI YA PAC IMETEMBELEA NA KUKAGUA KITUO CHA KUFUA UMEME HALE MKOANI TANGA

Mkurugenzi wa usambazaji umeme na huduma kwa wateja kutoka Shirika la Umeme (TANESCO),Athanasius Nangali Akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), jinsi chumba cha kuendeshea mitambo ya umeme unaozalishwa kinavyofanya kazi wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua utekelezaji wa ukarabati wa Kituo cha kufua umeme Hale Mkoani Tanga
Meneja wa vituo vya kuzalisha umeme Pangani na Hale, Mhandisi Anthony Mbushi akiwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), jinsi umeme unavyozalishwa katika mgodi wa mitambo ya kuzalisha umeme wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua utekelezaji wa ukarabati wa Kituo cha kufua umeme Hale Mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment