Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaelezea wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusu ujenzi wa tenki la maji lililopo eneo la Tegeta A wakati wajumbe hao walipotembelea DAWASA na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji wa Makongo hadi Bagamoyo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Jen.Mstaafu Davis Mwamunyange akizungumza katika kikao cha watendaji
wa mamlaka hiyo na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakati Kamati hiyo ilipotembelea DAWASA na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji wa Makongo hadi Bagamoyo, kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Mheshimiwa Japhet Hasunga

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC), Mheshimiwa Japhet Hasunga akizungumza wakati kamati hiyo ilipokuwa inakagua ujenzi wa tenki la maji katika eneo la Tegeta A, Kamati ya PAC imetembelea Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji wa Makongo hadi Bagamoyo
No comments:
Post a Comment