Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Arch. Daudi Kandoro akiwasilisha maelezo kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota Awamu ya II kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Arch. Saudi Kandoro akiwaelezea wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota Awamu ya II wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huoMtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Arch. Daudi Kandoro akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota Awamu ya I wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo.
No comments:
Post a Comment