Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia ni
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki kikao cha Umoja wa
Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU
unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi
19, 2022, kuanzia kulia ni Mbunge wa ChakeChake, Mhe.
Ramadhan Suleiman Ramadhan, Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko, Mbunge
wa Viti Maalum, Mhe. Mwanaisha Ulenge, Mbunge wa Singida Magharibi, Mhe.
Elibariki Kingu na Mbunge wa Madaba, Mhe. Joseph Mhagama
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022
Spika wa Bunge la Namibia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF), Prof. Peter Katjavivi akiongoza kikao cha Umoja huo katika Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Elibariki Kingu akichangia jambo wakati wa kikao cha Umoja wa Mabunge ya Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC PF) katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 19, 2022
No comments:
Post a Comment