WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, March 23, 2022

KAMATI YA PAC IMETEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA JUMUISHI YA TEMEKE NA KINONDONI

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Japhet Hasunga akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo mara baada ya Kamati kutembelea na kukagua mradi wa Ujenzi wa Mahakama Jumuishi ya Temeke na Kinondoni, kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Mhakama Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mheshimiwa Geofrey Pinda

Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), chumba cha wakinamama wanachotumia kunyonyeshea katika Mahakama Jumuishi ya Temeke wakati kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mahakama hiyo

Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), maeneo mbalimbali katika Mahakama Jumuishi ya Temeke wakati kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mahakama hiyo

Mtendaji Mkuu wa Mahakama Kuu, Leonard Magacha akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), maeneo mbalimbali katika Mahakama Jumuishi ya Temeke wakati kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mahakama hiyo

Mtendaji Mkuu wa Mahakama Kuu, Leonard Magacha akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), maeneo mbalimbali katika Mahakama Jumuishi ya Temeke wakati kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mahakama hiyo

No comments:

Post a Comment