WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, March 23, 2022

SPIKA DKT. TULIA AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) BALI NCHINI INDONESIA

 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022, Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong (kushoto) katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022, Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau

No comments:

Post a Comment