Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),Mheshimiwa Japhet Hasunga akizungumza na watendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa maabara ya Utafiti wa Samaki iliyopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), Ismail Kimerei akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Maabara ya Utafiti wa Samaki iliyopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam



Salaam
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika kikao na watendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Maabara ya Utafiti wa Samaki iliyopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi(uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akizungumza na wajumbe wa wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Maabara ya Utafiti wa Samaki iliyopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam, katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Mheshimiwa Japhet Hasunga na kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) Yahaya Mgawe
No comments:
Post a Comment