Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akishiriki Kikao
cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha
taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja
na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za
Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho
kimefanyika leo Machi 24, 2022
katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano
wa 144 wa IPU.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho kimefanyika leo Machi 24, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa IPU. Kuanzia kushoto ni Mhe. Dkt. Joseph Mhagama (Mjumbe wa Baraza la Uongozi), Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau, Mjumbe wa IPU, Mhe. Elibariki Kingu na Mjumbe wa Baraza la Uongozi, Mhe. Esther Matiko
Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong akizungumza wakati wa Kikao
cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kilichopokea na kupitisha
taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja
na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za
Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho
kimefanyika leo Machi 24, 2022
katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano
wa 144 wa IPU. Wapili kulia ni Rais wa Umoja huo, Ndg. Duarte Pacheco
Wajumbe wa Baraza
la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki kikao cha kupokea na kupitisha
taarifa mbalimbali, taarifa ya Mkaguzi wa Ndani wa Fedha kwa Mwaka 2021, pamoja
na Taarifa za kamati Mbalimbali ikiwemo taarifa ya kamati ya kudumu ya Haki za
Binadamu kwa Wabunge, Majukwaa ya Wabunge Wanawake na Vijana. Kikao hicho
kimefanyika leo Machi 24, 2022
katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano
wa 144 wa IPU.
No comments:
Post a Comment