Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Babati (BAWASA), Mhandisi Rashid Cherehani akitoa maelezo ya mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi huo

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kabla Kamati haijatembelea na kukagua mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kabla Kamati haijatembelea na kukagua mradi wa maji wa Dareda-Singu, Sigino na Bagara unaotekelezwa katika Wilaya ya Babati Mjini, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Mheshimiwa Japhet Hasunga
No comments:
Post a Comment