WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, March 14, 2022

KAMATI YA PAC YATEMBELEA MRADI WA KUUNGANISHA UMEME KENYA NA TANZANIA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyonga akizungumza mara baada ya Kaamati hiyo kukagua utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme Kenya na Tanzania sehemu ya Singida, Manyara na Arusha unaotekelezwa na Shirika la Umeme (TANESCO)

 
Meneja wa kusimamia ujenzi katika vituo vya umeme kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) Ndugu Timothy Mgaya akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) sehemu ya mradi kuunganisha umeme Kenya na Tanzania wakati Kamati ilipotembelea na kukagua mradi huo sehemu ya Singida, Manyara na Arusha

No comments:

Post a Comment