Kaimu Mkuu wa Jeshi la Polisi, DCP Lucas Mkondya akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua wa mradi wa Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida
Msimamizi wa mradi wa Jengo la Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida,ACP Constatine Kiwone akitoa maelezo ya mradi kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa mradi huo ambao umeshakamilika kwa asilimia mia moja
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Stella Mutabihirwa akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mkoa wa Singida wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo hilo
No comments:
Post a Comment